Wednesday, 31 August 2016

Teknolojia ya bustani alimaarufu kama bustani kiroba/bustani ya jikon kama mbadala wa bustan za chini hususani kwenye sehem zenye uhaba au shida ya maji ili kuhakikisha upatikanaji wa mlo kamili katika kaya


Sehemu ya wanyama wadogo wadogo  (Sungura) iliyotakana na shughuli yetu ya uhamasishaji kama sehem ya kuimarisha mlo wa kaya ili kuepukana na tatiizo la udumavu kwa watoto chini ya umri wa miaka miwili na upungufu wa damu kwa kina mama wajawazito na wanaonyonyesha

No comments:

Post a Comment