Wednesday, 31 August 2016

Mkuu wa wilaya ya Hanang' akizungumza neno siku ya uzinduzi wa mradi wa mafuta asili ya alizeti yaliyoongezewa Vitamini A

ZoezI la ununuaji wa mafuta kwa njia ya simu likifanyika  

Mwananchi akionyesha namba ya vocha kwa muuzaji kukidhi vigezo vya kununua mafuta hayo kwa hati punguzo

Moja ya burudani ya kabila la watu wa Barbag

Mkurugenzi wa shirika la MACS-NET akitambulisha wageni mbele ya hadhara

Meza kuu (Mkuu wa Wilaya,Katibu tawala na Mkurugenzi wa shirika) ikkionja chakula kilichopikwa kwa mafuta ya alizet yaliyoongezewa vitamini A

No comments:

Post a Comment