Wednesday, 31 August 2016
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Hanang' akizungumza neno siku ya uzinduzi wa mradi wa mafuta asili ya alizeti yaliyoongezewa Vitamini A |
![]() |
ZoezI la ununuaji wa mafuta kwa njia ya simu likifanyika |
![]() |
Mwananchi akionyesha namba ya vocha kwa muuzaji kukidhi vigezo vya kununua mafuta hayo kwa hati punguzo |
![]() |
Moja ya burudani ya kabila la watu wa Barbag |
![]() |
Mkurugenzi wa shirika la MACS-NET akitambulisha wageni mbele ya hadhara |
![]() |
Meza kuu (Mkuu wa Wilaya,Katibu tawala na Mkurugenzi wa shirika) ikkionja chakula kilichopikwa kwa mafuta ya alizet yaliyoongezewa vitamini A |
Subscribe to:
Posts (Atom)